WAZIRI MKUU MAJALIWA AKIONGOZA WAOMBOLEZAJI KWENYE MAZIKO YA ALIYEKUWA M/KITI WA CCM MKOA WA TABORA
Waziri mkuu wa serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania kassim majariwa amemuwakilisha rais samia Suluhu Hassan katika kushiriki mazishi ya aliekuwa mwenyekiti wa chama cha ccm mkoa wa tabora Marehemu Hassan wakasuvi aliyekutwa na umauti february 22 akiwa ofsin kwake baada ya kuugua ghafla.